Nahitaji kusoma Kati ya SUA na Ardhi, kozi gani inanifaa?

Achaga ubishi uso na mana mimi nimemaliza hpo SUA na intake ya mwisho ya HGE Ni intake ya 2020/2021
hlf naongea kitu ninachokijua mna mimi nimemaliza iyo course ila kwa saivi hawachukui watu wa HGE kawaulize wanafunzi wa AEA kma unaona uongo
Mimi nasoma AEA mwaka wa 3 kwahiyo najua ninachozungumza acha kupotosha watu . Hiyo dhambi ya kupotosha watu itakuja kukutafuna sababu unapoteza future za watu kwa kuzusha vitu vya uongo.
HGE,EGM,ECA agribusiness ni Uwanja wa nyumbani sababu ya msingi mzuri wa Economics , tofauti hata na CBG ingawa nao wanaruhusiwa kusoma
 
Huyo ni moja kati ya idiots tulio nao humu JF. Usipoteze muda wako.
 
Hiyo hapo ya mwaka huuu unaweza fatilia mwenyewe
Screenshot_20220611-183709.jpg
 
Mimi nasoma AEA mwaka wa 3 kwahiyo najua ninachozungumza acha kupotosha watu . Hiyo dhambi ya kupotosha watu itakuja kukutafuna sababu unapoteza future za watu kwa kuzusha vitu vya uongo.
HGE,EGM,ECA agribusiness ni Uwanja wa nyumbani sababu ya msingi mzuri wa Economics , tofauti hata na CBG ingawa nao wanaruhusiwa kusoma
Sawa
Mbona tuliambiaa na ndyeta hawachukui wasosoma biology?
 
Nimekuelewa vizuri sana na sisi ambao tunapitia kuangalia kwa umakini vigezo vya kozi mbalimbali tunaelewa ,huyu jamaa amwangalie vigezo vya AEA amevisoma lakini Hajavielewa ndio maana anasoma hicho anachokisema.
 
Ardhi.

1. Land valuation
2. Accountancy
3. Geographical information systems
4. Building economics

SUA
1. Agribusiness and agro economics (AEA)

Aende accountancy hayo mengine akimaliza shule atasota sana kitaa
 
Hiyo GIS ni kozi nzr sana...

Na ina soko...

Kila sekta inayohusika na utility management wanahitaji GIS expert
Mi nmetembelea sana career website, course ambazo zimetangaziwa sana ajira ni hii Accountancy hio yako hapana asee
 
Ok ...lakin wanaosoma accoutancy ni wangap...

Mimi nilisoma Geoinformatics ambayo inatolewa Ardhi University miaka minne na darasa letu tulikuwa 20 tu na wote sasa hiv tuna ajira..siku hiz hio kozi imekatwa katwa na wameanzisha gis and remote sensing nk

GIS ina application kuanzia
TPDC,TANAPA, WATER AUTHORITIES, TANESCO, TAWILI, AIRPORTS, MARINE, LAND SURVEY, CONSTRUCTION NK

Lakin sikulaumu sana maana watz wengi tumekalili kozi zenye ajira kama hiyo accoutancy,engineers sijui docta..wanasahau kuna kazi kama Geospatial Analyst, GIS experts nk na wanalipwa hela ndefu tu kwenye makampuni makubwa....

Huwezi linganisha Kozi ya GIS na kozi yoyote ya biashara...bila kusahau GIS mtu anajiajiri kabisa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Sawa
Mbona tuliambiaa na ndyeta hawachukui wasosoma biology?
Ndyeta hizo ndo kauli zake kila mwaka, Lakini kiuhalisia hauwezi kuzitenganisha combination za Economics (HGE,EGM,ECA) na agribusiness , hata jina la course tu linashabihiana na Economics.
 
Ok ...lakin wanaosoma accoutancy ni wangap...

Mimi nilisoma Geoinformatics ambayo inatolewa Ardhi University miaka minne na darasa letu tulikuwa 20 tu na wote sasa hiv tuna ajira..siku hiz hio kozi imekatwa katwa na wameanzisha gis and remote sensing nk

GIS ina application kuanzia
TPDC,TANAPA, WATER AUTHORITIES, TANESCO, TAWILI, AIRPORTS, MARINE, LAND SURVEY, CONSTRUCTION NK

Lakin sikulaumu sana maana watz wengi tumekalili kozi zenye ajira kama hiyo accoutancy,engineers sijui docta..wanasahau kuna kazi kama Geospatial Analyst, GIS experts nk na wanalipwa hela ndefu tu kwenye makampuni makubwa....

Huwezi linganisha Kozi ya GIS na kozi yoyote ya biashara...bila kusahau GIS mtu anajiajiri kabisa

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Watu wanakariri sana, wanashindwa kutambua ulimwengu wa sasa ni wateknolojia. Pesa zote zipo huko kwa technologies
 
Back
Top Bottom