Nahitaji kusoma Kati ya SUA na Ardhi, kozi gani inanifaa?

Nahitaji kusoma Kati ya SUA na Ardhi, kozi gani inanifaa?

Mimi nipo SUA hapa watu wa HGE kila mwaka wanasoma agribusiness
Acha kupotosha watu . Kama kigezo lazima mtu aliyesoma biology mbona EGM, PCM,ECA wanasoma?

Kitu Kama hufahamu Bora unyamaze vigezo vinavyotakiwa kwa mtu aliyesoma combination ya uchumi Ni Geography , Economics na basic mathematics au pure mathematics ngoja ni fight
 
Mimi nipo SUA hapa watu wa HGE kila mwaka wanasoma agribusiness
Acha kupotosha watu . Kama kigezo lazima mtu aliyesoma biology mbona EGM, PCM,ECA wanasoma?

Kitu Kama hufahamu Bora unyamaze vigezo vinavyotakiwa kwa mtu aliyesoma combination ya uchumi Ni Geography , Economics na basic mathematics au pure mathematics .
Achaga ubishi uso na mana mimi nimemaliza hpo SUA na intake ya mwisho ya HGE Ni intake ya 2020/2021
hlf naongea kitu ninachokijua mna mimi nimemaliza iyo course ila kwa saivi hawachukui watu wa HGE kawaulize wanafunzi wa AEA kma unaona uongo
 
Jamani Nina nimemaliza A-level kombi HGE na kupata
 gs-E
history-D
geo-C
economy-D
Nahitaji kusoma Kati ya SUA na ARDHI naomba ushauri kozi gani inanifaa
Mi nakushauri ili usije kujuta kasome kozi pale chuo Cha maji ni mpya inaanza mwaka huu inaitwa "Community development in water and sanitation" sifa unazo
 
Dah hizi ID fake zinapoteza sana watu hya lete qualification za kusoma Agribusiness Sua
Wewe ndio ulitakiwa ulete sehem wameandika mtu aliye soma economics haruhusiwi kusoma "agro economics".
 
Wewe ndio ulitakiwa ulete sehem wameandika mtu aliye soma economics haruhusiwi kusoma "agro economics".
wapi nimesema mtu alosoma economics haruhusiwi?

Nilichokisema bila ya biology ya Advance husomi iyo kozi
 
Mi nakushauri ili usije kujuta kasome kozi pale chuo Cha maji ni mpya inaanza mwaka huu inaitwa "Community development in water and sanitation" sifa unazo
Wewe ndiyo unampoteza kozi mpya siyo za kuzikimbilia
 
msaada, Hii kozi ya geographical information system and Remote sensing ina husu nini haswa...?
 
Aisee sasa unabisha nini wakati mimi nimemaliza hpo SUA tena kozi iyo iyo ya Agribusiness

msiwe wajuaji wakati hmna mlijualo bhna
Usiishi kwa kukariri. Soma guide book.
Zama zimebadilika.
 
Back
Top Bottom