Edgar 8900
Member
- Jun 8, 2022
- 24
- 9
Agroecomics iko na future. Ipo pale SUA ardhiJamani Nina nimemaliza A-level kombi HGE na kupata
gs-E
history-D
geo-C
economy-D
Nahitaji kusoma Kati ya SUA na ARDHI naomba ushauri kozi gani inanifaa
hawezi kupata iyo kozi saivi ple SUA mna wanahitaji mtu alosoma BiologyAgroecomics iko na future. Ipo pale SUA ardhi
Kama haijabadilishwa jina ni Agriculture/Agricultural Economics. Lakini pia kwa SUA ni kama unahitaji combination yenye Biology ila mambo yamebadilika yawezekana vigezo vya zamani sio kama vya sasa.Agroecomics iko na future. Ipo pale SUA ardhi
Dah usimkatishe tamaa wakati vigezo anavyoHuwezi pata chuo kwa passmark hizo
Kama unazungumzia Agriculture Economic and Agribusiness haiilazimishi kuwa na kombi ya Biology, hata HGE anasoma, maelezo kutoka kwenye tovuti ya sua yanasema.Kama haijabadilishwa jina ni Agriculture/Agricultural Economics. Lakini pia kwa SUA ni kama unahitaji combination yenye Biology ila mambo yamebadilika yawezekana vigezo vya zamani sio kama vya sasa.
Ila vigezo ninavyo?Huwezi pata chuo kwa passmark hizo
Agribusiness hawezi kupata mtu alosoma HGE mna kuna mabadiliko saivi ple SUA wntka lazima usome BIOLOGYNenda SUA soma Agribusiness, Land valuation Ardhi
Si kweli.Agribusiness hawezi kupata mtu alosoma HGE mna kuna mabadiliko saivi ple SUA wntka lazima usome BIOLOGY
huna qualifications za kuja chuo. please jiajiriJamani Nina nimemaliza A-level kombi HGE na kupata
gs-E
history-D
geo-C
economy-D
Nahitaji kusoma Kati ya SUA na ARDHI naomba ushauri kozi gani inanifaa
Ardhi.Jamani Nina nimemaliza A-level kombi HGE na kupata
gs-E
history-D
geo-C
economy-D
Nahitaji kusoma Kati ya SUA na ARDHI naomba ushauri kozi gani inanifaa
Mkuu unampeleka kwenywe shimo kabisa😂😂😂LAnd management and valuation kasome hyo koz ila kwa alama zako kasome tu kilimo in general
Building economics hawezi kuipata kwa marks izo .wamebadilisha basic requirements ni advanced mathematicsArdhi.
1. Land valuation
2. Accountancy
3. Geographical information systems
4. Building economics
SUA
1. Agribusiness and agro economics (AEA)
Mimi nipo SUA hapa watu wa HGE kila mwaka wanasoma agribusinessAgribusiness hawezi kupata mtu alosoma HGE mna kuna mabadiliko saivi ple SUA wntka lazima usome BIOLOGY
Asante kwa ushauriArdhi.
1. Land valuation
2. Accountancy
3. Geographical information systems
4. Building economics
SUA
1. Agribusiness and agro economics (AEA)
Asante sanaKama unazungumzia Agriculture Economic and Agribusiness haiilazimishi kuwa na kombi ya Biology, hata HGE anasoma, maelezo kutoka kwenye tovuti ya sua yanasema.
Two principal passes (4 points) in the following subjects: Economics, Advanced Mathematics, Geography, Commerce, Accountancy, Physics, Chemistry, Agriculture and Biology. In addition, an applicant must have a minimum of “D” grade in Basic Mathematics at O-Level OR Diploma in Agriculture with an average of “B” or a minimum GPA of 3.0. In addition, an applicant must have a minimum of “D” grade in two science subject and a minimum of “D” grade in Mathematics at O-Level.