Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache wakae hivyo hivyo!Kuna watu hawatokuelewa
Nenda pale OUT wakueleze vizuri au ingia kwenye prospectus yao uone course contents zake zimekaaje. Ni bonge la kozi maana inahusisha kufanya ufuatiliaji na tathmini ya miradi yote. Hii ni kozi ya wachache!Tell me more about this..mana hua naiwazia.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ada njoo nayo hapa kibaigwa uwekeze kwenye kilimo cha alizeti
Kapigwa mvua kadhaaHapo Kibaigwa yule mbabe ustaadh wa kuitwa Kiemi yupo?
Kwani alifanya tukio gani la kutwangwa mvua kadhaaKapigwa mvua kadhaa
Project management iko poa lakini check pia program ya PMP Tanzania ( google hiyo) uone hiyo certification yao ya mambo ya Project.Habari za siku nyingi kidogo, ni muda sasa kutokana na majukumu ya hapa na pale sikuweza kuleta hata uzi mmoja hapa JF!
Wanajamii, kama Heading inavyosema nina mawazo mawili kinzana katika kuongeza elimu.
Kwa kuanzia kabisa mie nina Bachelor ya Civil Engineering ambapo nafanya kazi kwa mkataba katika taasisi moja ya serikali, Kwa sasa nahitaji nisome kati ya Dip ya Finance/accounting au Masters ya Project management vyote kutoka Open University!
Nahitaji Ushauri wenu niende na kipi hapo?
maoni yote yatakuwa equally respected!
Alfred
Soma open university master of project management. Iko poa sanaHabari za siku nyingi kidogo, ni muda sasa kutokana na majukumu ya hapa na pale sikuweza kuleta hata uzi mmoja hapa JF!
Wanajamii, kama Heading inavyosema nina mawazo mawili kinzana katika kuongeza elimu.
Kwa kuanzia kabisa mie nina Bachelor ya Civil Engineering ambapo nafanya kazi kwa mkataba katika taasisi moja ya serikali, Kwa sasa nahitaji nisome kati ya Dip ya Finance/accounting au Masters ya Project management vyote kutoka Open University!
Nahitaji Ushauri wenu niende na kipi hapo?
maoni yote yatakuwa equally respected!
Alfred
Asante sana mkuu kwa mawazo mazuriProject management iko poa lakini check pia program ya PMP Tanzania ( google hiyo) uone hiyo certification yao ya mambo ya Project.
Thanks brotherSoma open university master of project management. Iko poa sana
Kwa background yako kama unapenda management nenda kasome "engineering project management" ya pale jalalani au kasome "msc construction economics" ya pale ardhi.Habari za siku nyingi kidogo, ni muda sasa kutokana na majukumu ya hapa na pale sikuweza kuleta hata uzi mmoja hapa JF!
Wanajamii, kama Heading inavyosema nina mawazo mawili kinzana katika kuongeza elimu.
Kwa kuanzia kabisa mie nina Bachelor ya Civil Engineering ambapo nafanya kazi kwa mkataba katika taasisi moja ya serikali, Kwa sasa nahitaji nisome kati ya Dip ya Finance/accounting au Masters ya Project management vyote kutoka Open University!
Nahitaji Ushauri wenu niende na kipi hapo?
maoni yote yatakuwa equally respected!
Alfred
Daaaah..... alizingua nini yule Mwamba? Kala Mvua ngapi?Kapigwa mvua kadhaa
Mkuu hizo Mashine hapo Kibaigwa wanauzaje Mafuta ya Alizeti kwa sasa kwa dumu?Hiyo ada njoo nayo hapa kibaigwa uwekeze kwenye kilimo cha alizeti
Kwani ada ya OUT na jalalani zina tofauti?asante sana mkuu, kwa sasa uwezo wa kwenda jalalani sina.