Nahitaji Kusoma Masters ya Project Management au Diploma ya Finance and Accounting

Kwa nini usisome magazeti mkuu au hapo mtaani kwenu hakuna anaeyauza
 
Habari za siku nyingi kidogo, ni muda sasa kutokana na majukumu ya hapa na pale sikuweza kuleta hata uzi mmoja hapa JF!

Wanajamii, kama Heading inavyosema nina mawazo mawili kinzana katika kuongeza elimu.

Kwa kuanzia kabisa mie nina Bachelor ya Civil Engineering ambapo nafanya kazi kwa mkataba katika taasisi moja ya serikali, Kwa sasa nahitaji nisome kati ya Dip ya Finance/accounting au Masters ya Project management vyote kutoka Open University!

Nahitaji Ushauri wenu niende na kipi hapo?

maoni yote yatakuwa equally respected!

Alfred
Project management iko poa lakini check pia program ya PMP Tanzania ( google hiyo) uone hiyo certification yao ya mambo ya Project.
 
Soma open university master of project management. Iko poa sana
 
Project management iko poa lakini check pia program ya PMP Tanzania ( google hiyo) uone hiyo certification yao ya mambo ya Project.
Asante sana mkuu kwa mawazo mazuri.
 
Habari za siku nyingi kidogo, ni muda sasa kutokana na majukumu ya hapa na pale sikuweza kuleta hata uzi mmoja hapa JF!

Wanajamii, kama Heading inavyosema nina mawazo mawili kinzana katika kuongeza elimu.

Kwa kuanzia kabisa mie nina Bachelor ya Civil Engineering ambapo nafanya kazi kwa mkataba katika taasisi moja ya serikali, Kwa sasa nahitaji nisome kati ya Dip ya Finance/accounting au Masters ya Project management vyote kutoka Open University!

Nahitaji Ushauri wenu niende na kipi hapo?

maoni yote yatakuwa equally respected!

Alfred
Kwa background yako kama unapenda management nenda kasome "engineering project management" ya pale jalalani au kasome "msc construction economics" ya pale ardhi.
 
asante sana mkuu, kwa sasa uwezo wa kwenda jalalani sina.
 
Back
Top Bottom