hauzeeee45
Member
- Jul 3, 2024
- 23
- 71
Ya katavi au ostabeyKama uzi unavyosema hapo nimemaliza Diploma ya NURSING AND MIDWIFERY Ufaulu GPA 4.8
Nina malengo ya kusoma MUHAS AU UDSM, nimejaribu kupitia guidebook nimeona kuna course naweza kuapply kupitia course yangu ndugu zangu hvi naweza kupata nafasi pale kwa huo ufaulu
Pia naona admision capacity 5, nauliza pia ina maana wanachukua watu wa 5 kwa mwaka waliomaliza Diploma au zile mbwembwe tu pale?
Umesoma chuo gani hicho hadi uwe na overall gpa ya 4.8?Kama uzi unavyosema hapo nimemaliza Diploma ya NURSING AND MIDWIFERY Ufaulu GPA 4.8
Nina malengo ya kusoma MUHAS AU UDSM, nimejaribu kupitia guidebook nimeona kuna course naweza kuapply kupitia course yangu ndugu zangu hvi naweza kupata nafasi pale kwa huo ufaulu
Pia naona admision capacity 5, nauliza pia ina maana wanachukua watu wa 5 kwa mwaka waliomaliza Diploma au zile mbwembwe tu pale?
Mmh 1 ya 4 mzee akose ?Hapo kijana kupata ni ishu yaan madogo yamefaulu mno inawezekana aliepata div 1 ya 4 akakosa muhas itakuwa ww
Jamaa analeta zile story za vijiweni..Mmh 1 ya 4 mzee akose ?
Hata ungekua wewe ndio mkuu wa chuo, assume una nafasi na una watu wawili wanaomba.Kama uzi unavyosema hapo nimemaliza Diploma ya NURSING AND MIDWIFERY Ufaulu GPA 4.8
Nina malengo ya kusoma MUHAS AU UDSM, nimejaribu kupitia guidebook nimeona kuna course naweza kuapply kupitia course yangu ndugu zangu hvi naweza kupata nafasi pale kwa huo ufaulu
Pia naona admision capacity 5, nauliza pia ina maana wanachukua watu wa 5 kwa mwaka waliomaliza Diploma au zile mbwembwe tu pale?
Kwa muhas unaweza ku apply kusoma bachelor of science in nursing, bachelor of science in midwifery, bachelor of science in nursing anaesthesia, physiotherapy, audiology, occupational therapy nahisi usipopenda mojawapo hapo bas hutak kusomaKama uzi unavyosema hapo nimemaliza Diploma ya NURSING AND MIDWIFERY Ufaulu GPA 4.8
Nina malengo ya kusoma MUHAS AU UDSM, nimejaribu kupitia guidebook nimeona kuna course naweza kuapply kupitia course yangu ndugu zangu hvi naweza kupata nafasi pale kwa huo ufaulu
Pia naona admision capacity 5, nauliza pia ina maana wanachukua watu wa 5 kwa mwaka waliomaliza Diploma au zile mbwembwe tu pale?
Ukianza MUHAS unaanza upyaa ukitaka kuonesha GPA yako ya diploma una disco semester ya kwanza kabisa ππUmekuja tu kutuambia GPA yako , hebu apply huko
ππππππ4.8 umeipataje kama kuaply tu chuo unashindwa?
Aachane kabisa na Muhas na UDSMUkianza MUHAS unaanza upyaa ukitaka kuonesha GPA yako ya diploma una disco semester ya kwanza kabisa ππ
Usimvunje moyo mwenzako acha akapambaneAachane kabisa na Muhas na UDSM
Pale wanachukua vichwa waliofaulu hasa
Sio utani hizo course