Nahitaji kusoma MUHAS au UDSM

Nahitaji kusoma MUHAS au UDSM

Kijana unafuta majibu sahih alafu unapoteza muda kufikiri upya. Umejijibu vyema kabisa.

Ukipata soma Anesthesia.
 
Mimi sijapita
Wataangalia matokeo yako ya kidato cha 4 na 6 ulifanyaje. Kisha watarudi kuangalia chuo ulichopata hiyo Gpa ya 4.8 .
Kumbuka muhas na udsm huwa wanachukua wanafunzi kutoka diploma wachache sana yaani sana.
Mfano upande wa afya MD hawafiki hata 10
Advance
 
Ungetaja na hizo programme tujue tunakushauri vipi.
Screenshot_20240714_164911_WPS Office Lite.png
 
 
Tutegemee nyuzi nyingi dizaini hii ...

Wale wajuzi wa haya masuala msichoke kuwasaidia hawa watu sio mwisho wa siku mnakuja kuwalaumu, kuwasema vibaya na kuwakatisha tamaa wakizipata hizo degree.
Mkuu, shida ya jukwaa letu ni kuwa sikuhizi limevamiwa na watu wengi wasiojielewa kutwa kukatisha vijana tamaa na kutoa lugha za ajabu
 
Vilaza ndio wanakutisha eti kusoma hapo lazima uwe na ufaulu mkubwa form6,
yaani niwe na huo ufaulu mkubwa halafu nikasomee Nursing ?
Usisikilize mbuzi hizi,
 
Hata ungekua wewe ndio mkuu wa chuo, assume una nafasi na una watu wawili wanaomba.

Wa kwanza ana div 1 ya 4 ya fom 6 pcb.

Wa pili ana gpa ya 4.8 diploma.

Je ungempa nani nafasi? Jijibu mwenyewe.

Form ni ngumu ila ina value kuliko diploma linapokuja swala la kuomba chuo kikuu/degree.
Hapana huwa wanachukua form six kwa qualification zake na idadi yake na diploma hivyohivyo
 
Back
Top Bottom