Nahitaji kusoma MUHAS au UDSM

Nahitaji kusoma MUHAS au UDSM

Kama uzi unavyosema hapo nimemaliza Diploma ya NURSING AND MIDWIFERY Ufaulu GPA 4.8

Nina malengo ya kusoma MUHAS AU UDSM, nimejaribu kupitia guidebook nimeona kuna course naweza kuapply kupitia course yangu ndugu zangu hvi naweza kupata nafasi pale kwa huo ufaulu

Pia naona admision capacity 5, nauliza pia ina maana wanachukua watu wa 5 kwa mwaka waliomaliza Diploma au zile mbwembwe tu pale?
ulishakosea,udsm na muhas division one pont tati hadI tano
 
Back
Top Bottom