Poleni na majukumu ya kila siku ndugu zangu, nimemaliza degree ya kwanza ya business administration na nina kazi yangu binafsi kwa sasa lakini haikuwa ndoto yangu ilinilazimu kusoma Ili nipate kwanza kazi ya kufanya.
Ndoto yangu ni kuwa daktari na sikuweza kutimiza vigezo kwenye masomo ya science Kwani physics nilipata F, Chemistry D, Biology C na Mathematics D, nahitaji kurudia mitihan ya form 4 na 6 kwa upande wa science, ( physics, Chemistry na Mathematics).
Hivyo naombeni kujua utaratibu uko vipi hapo.