Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kila printer inakuja na driver au software yake kwenye CD, kama aina ingia kwenye official site zipo zote sema hujui tafuta madogo watundu wa IT au form foo failure ambaye anajua English na kuperuzi mpe hii link kila kitu kipo hapawakuu nina mashine aina ya RICOH MP 2501 SP , napataje free drivers ili nitumie kama printer?
Kila driver ninayoiona mtandaoni inauzwa. Msaada tafadhali
Nunua tuwakuu nina mashine aina ya RICOH MP 2501 SP , napataje free drivers ili nitumie kama printer?
Kila driver ninayoiona mtandaoni inauzwa. Msaada tafadhali
duu..... basi mimi ni la saba failure asee.......mana naipakua lakini nashindwa ku installMkuu kila printer inakuja na driver au software yake kwenye CD, kama aina ingia kwenye official site zipo zote sema hujui tafuta madogo watundu wa IT au form foo failure ambaye anajua English na kuperuzi mpe hii link kila kitu kipo hapa
MP 2001SP/2501SP Downloads | Ricoh Global
support.ricoh.com
Wape ugali madogo kazi rahisi hiyoduu..... basi mimi ni la saba failure asee.......mana naipakua lakini nashindwa ku install