Nahitaji kutumia Photocopier kama Printer aina ya Ricoh MP 2501 SP

Kitabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
313
Reaction score
28
wakuu nina mashine aina ya RICOH MP 2501 SP , napataje free drivers ili nitumie kama printer?

Kila driver ninayoiona mtandaoni inauzwa. Msaada tafadhali
 
Mkuu kila printer inakuja na driver au software yake kwenye CD, kama aina ingia kwenye official site zipo zote sema hujui tafuta madogo watundu wa IT au form foo failure ambaye anajua English na kuperuzi mpe hii link kila kitu kipo hapa

duu..... basi mimi ni la saba failure asee.......mana naipakua lakini nashindwa ku install
 
Back
Top Bottom