Nahitaji kutumia Whatsapp kwenye PC

Nahitaji kutumia Whatsapp kwenye PC

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,646
Reaction score
5,606
Habari zenu waungwana, nimepata laptop nataka kutumia whasapp. Mwenye kunielekeza jinsi ya kutumia anielekeze.
 
Download app inaitwa bluestack kisha utapata android environment. Hapo utaweza intall chochote cha kwenye simu ikiwemo whatsappp kwenye pc yako.
 
Ingia web.whatsapp.com kwenye pc, itakupa option ya kuscan qr code...

Nenda kwenye whatsapp app kwenye simu , utaclick desktop/whatsapp web utascan zile qr code

IMG_4208.jpg
 
Scan WhatsApp yako kwenye WhatsApp web then unakuwa unaipata kwenye pc
 
Unataka kutumia tu kwenye pc [emoji335] sababu huna smartphone[emoji336]!?, au kwenye pc [emoji335] iwepo na kwenye smartphone iwepo!?. Ebu funguka vizuri maana kuna whatsapp web unaweza tumia kwenye simu na pc
 
Simu yangu ya wasap imeharibika kwaiyo inanibidi nitumie ya kwenye Pc mpaka ninatakapopata simu
 
Kama una pc [emoji335] yenye uwezo mkubwa tumia BLUESTACKS. Ila kama uwezo wake wa kawaida tumia YOUWAVE (Inahitaji uzoefu kidogo)
 
Sasa inakuwaje Tetesi kutumia WhatsApp? Wadau washafunguka hapo juu:-

1. Bluestacks ila changamoto kwamba inahitaji PC iwe na performance kubwa kama PC inaperformance poor itakuwa slow sana ila hapa simu sio lazima uwe na smarphone hata nokia ya touch hapa utaisajili namba yako kwa whatsApp.

2. Tumia WhatsApp Web - hii inahitaji simu yake iwe na uwezo wa kuscan barcode kwa kifupi lazima uwe na simu ya kisasa ambayo iwe na whatsapp pia sema unachofanya unatransfer whatsapp ya kwenye smartphone yako kwenda kwenye PC web.
 
Imekataa jamani iyo Bluestacks kwenye Pc yangu
 
Hivi hii App ya bluestack ina nguvu sana? Je ukiitumia kwenye PC ya Dell i3 inafaa mkuu
 
Back
Top Bottom