Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simu yangu ya wasap imeharibika kwaiyo inanibidi nitumie ya kwenye Pc mpaka ninatakapopata simuUnataka kutumia tu kwenye pc [emoji335] sababu huna smartphone[emoji336]!?, au kwenye pc [emoji335] iwepo na kwenye smartphone iwepo!?. Ebu funguka vizuri maana kuna whatsapp web unaweza tumia kwenye simu na pc
Kama una pc [emoji335] yenye uwezo mkubwa tumia BLUESTACKS. Ila kama uwezo wake wa kawaida tumia YOUWAVE (Inahitaji uzoefu kidogo)Simu yangu ya wasap imeharibika kwaiyo inanibidi nitumie ya kwenye Pc mpaka ninatakapopata simu
Tumia hiyo BLUESTACKS.Inauwezo mkubwa Pc yangu
Hivi hii App ya bluestack ina nguvu sana? Je ukiitumia kwenye PC ya Dell i3 inafaa mkuuSasa inakuwaje Tetesi kutumia WhatsApp? Wadau washafunguka hapo juu:-
1. Bluestacks ila changamoto kwamba inahitaji PC iwe na performance kubwa kama PC inaperformance poor itakuwa slow sana ila hapa simu sio lazima uwe na smarphone hata nokia ya touch hapa utaisajili namba yako kwa whatsApp.
2. Tumia WhatsApp Web - hii inahitaji simu yake iwe na uwezo wa kuscan barcode kwa kifupi lazima uwe na simu ya kisasa ambayo iwe na whatsapp pia sema unachofanya unatransfer whatsapp ya kwenye smartphone yako kwenda kwenye PC web.
Inakula Memory kubwa sana kwahiyo inahitaji PC ambayo sio nzito.Hivi hii App ya bluestack ina nguvu sana? Je ukiitumia kwenye PC ya Dell i3 inafaa mkuu
Kwa hiyo mkuu kwa hii dell yangu i3? ni nzito au iko poa?Inakula Memory kubwa sana kwahiyo inahitaji PC ambayo sio nzito.
Kwa hiyo mkuu kwa hii dell yangu i3? ni nzito au iko poa?
Tumia Andy yenyewe haina complications.Imekataa jamani iyo Bluestacks kwenye Pc yangu