X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
asante mkuu uko kote nahitajika kuwa na account au nikijieleza tuu nasaidiwa pasipokuwa na account yoyote..?Moneygram,western union, safaricom-mpesa au bank transfer pia nmb wana mfumo wa kutuma na kupokea pesa kutoka popote duniani ndan ya 1hour
asante mkuu kwa hiyo nimpe tuu namba zangu za mpesa...nitapokea bila wasi wasi..?juzi nimemtumia mtu pesa kwa mpesa kiasi cha laki 1 na gharama nililipa kiasi cha elfu 2 tu kwa Mpesa
M pesa au Western UnionWanajf naomba mniondoe ushamba kijana mwenzenu. Kuna rafiki yangu yupo Kenya anataka kunitumia salio/fedha, naomba kufahamu njia atakazotumia yeye kunitumia hizo fedha.
Vile vile mnielekeze jinsi nitakavyoweza kupokea hiyo fedha. Ni matumaini yangu kuwa mtalifanyia kazi ombi langu kwa haraka zaidi.
Wenu mpendwa
eddy_mhando
hiyo ya mpesa nazani ndio njia sahihi...je nitataliwa kwenda kwa wakala wa kawaida au kutakuwa na mambo ya kuchange fedha tena..?Western union,moneygram haina akaunti , safsricom-mpesa lazima uwe unatumia vodacom mpesa, hio ya nmb sina uzoef nayo hata kidogo niliona matangazo yao tu.. U can confirm kwa kutembelea benki yao, au vituo vya moneygra na western union popote palipo benki ya diamond trust-DTB , benki ya posta tanzania-TPB, Ofisi za posta, BANK OF AFRICA-BOA, equity bank, barclay bank .. n.k
je kwa mpesa zitaingia kwa thamani ya tz...au msg nitaenda nayo mahala pa kuchanchia pesa,,,?M pesa au Western Union
asante mzee mwenzangu ubarikiwe sana hii ndio faida ya mitandaoInapatikana kwa Diamond Trust Bank
Itaingia kwa akaunti moja kwa mojaje kwa mpesa zitaingia kwa thamani ya tz...au msg nitaenda nayo mahala pa kuchanchia pesa,,,?
asante ubarikiwe sana mzee mwenzanguItaingia kwa akaunti moja kwa moja
Haina shida mkuuasante ubarikiwe sana mzee mwenzangu
asante ubarikiwe sana mzee mwenzangu ila wewe ni miongoni mwa member wenye avatar za kuchekesha sana....Ukiangali kwenye menu ya mpesa kunakua na exchange rate yao wanayotumia kwa siku husika.. So wa kenya akituma kama 10000ksh ina maana ww tanzania utapokea tsh (10000ksh x exchange rate=hela unayopokea) unatoa kwa wakala kama kawaida tu
Binafsi nawapenda sana nyani,napenda sana vituko vyao.. Napenda sana kuangalia vibweka vya nyani aisee..asante ubarikiwe sana mzee mwenzangu ila wewe ni miongoni mwa member wenye avatar za kuchekesha sana....
ahaaahaaa vinapatikana wapi vibweka vya nyani na mimi niwe nafatilia mzee mwenzanguBinafsi nawapenda sana nyani,napenda sana vituko vyao.. Napenda sana kuangalia vibweka vya nyani aisee..