X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Wanajf naomba mniondoe ushamba kijana mwenzenu. Kuna rafiki yangu yupo Kenya anataka kunitumia salio/fedha, naomba kufahamu njia atakazotumia yeye kunitumia hizo fedha.
Vile vile mnielekeze jinsi nitakavyoweza kupokea hiyo fedha. Ni matumaini yangu kuwa mtalifanyia kazi ombi langu kwa haraka zaidi.
Wenu mpendwa
eddy_mhando
Vile vile mnielekeze jinsi nitakavyoweza kupokea hiyo fedha. Ni matumaini yangu kuwa mtalifanyia kazi ombi langu kwa haraka zaidi.
Wenu mpendwa
eddy_mhando