Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
Cheki cheki youtube tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante sana ubarikiwe...ubarikiwe sanaTumia mpesa ni fastaa
ila ungekuwa mbelee uko ungekuja na doccumetary yako kuhusu maisha ya nyani maana ndo kitu kinachokuvutia na ungekuwa maarufu sana ... ila duh tz tutaishia kutizama dcumentaries za wenzetuCheki cheki youtube tu
poa mkuu umenikumbusha mbali sana babu yangu mzee mhando alikuwa anafukuzana na manyani porini kiasi enzi hizo nyani walikuwa wengi sana sasa watu wakikutana na nyani porini ukiita tu MHANDOOO manyani yanakimbia huku na huko...ila kwa sasa babu ni marehemNi pm namba yako