ila ungekuwa mbelee uko ungekuja na doccumetary yako kuhusu maisha ya nyani maana ndo kitu kinachokuvutia na ungekuwa maarufu sana ... ila duh tz tutaishia kutizama dcumentaries za wenzetu
poa mkuu umenikumbusha mbali sana babu yangu mzee mhando alikuwa anafukuzana na manyani porini kiasi enzi hizo nyani walikuwa wengi sana sasa watu wakikutana na nyani porini ukiita tu MHANDOOO manyani yanakimbia huku na huko...ila kwa sasa babu ni marehem