Hapo bold pamenichekesha sana mkuureaaallly hivi unene afya eeh? Basi tumetofautiana. Goodlucky kibonge to be
unene sio mzuri ila kama nimekuelewa kiaina flan kwamba unataka tu upendeze , uwe na mwili wa kupendeza , ulionawiri ,,, weka data Una kilo ngapi , urefu wako ni kiasi gani , umri .. weka hizo data nione pa kuanzia ...
ahahahaha kilo hamsini uzito wa mbuzi pale vingunguti,nilidhani mi peke yangu ndio mwepesi kilo 58 kumbe tuko wengi swali je kwenu kuna mnene au unataka kupuliziwa upepo,jaribu dripu ya mayai na maziwa kwa miezi 3exactly ,,,ndo nachokihitai
nina kilo 50
umri miaka 22.5
urefu 169cm
ahahahaha kilo hamsini uzito wa mbuzi pale vingunguti,nilidhani mi peke yangu ndio mwepesi kilo 58 kumbe tuko wengi swali je kwenu kuna mnene au unataka kupuliziwa upepo,jaribu dripu ya mayai na maziwa kwa miezi 3