Nahitaji kuwa mnene na mimi jaman, am serious

Nahitaji kuwa mnene na mimi jaman, am serious

Kula sana....ukishiba tú lala tena ule sana vitu vya mafuta mafuta marosti rosti......na mazaga zaga mengine
 
Be satisfied. ridhika na unachokula, Hata ule vipi kama huridhiki na unachokula hutapata mabadiliko. Kula vizuri pumzika ishi kwa kuridhika. Usiwe mlai sana. Hii ni njia ya pekee ya kufanikiwa.
 
reaaallly hivi unene afya eeh? Basi tumetofautiana. Goodlucky kibonge to be
 
inawezekana pia ukawa umerithi kutoka kwa familia yako...la muhimu kujikubali tu ulivyo....
 
unene sio mzuri ila kama nimekuelewa kiaina flan kwamba unataka tu upendeze , uwe na mwili wa kupendeza , ulionawiri ,,, weka data Una kilo ngapi , urefu wako ni kiasi gani , umri .. weka hizo data nione pa kuanzia ...
 
Kila utakapo kula hakikisha mayones hayakosekani week tu utaniambia.
 
unene sio mzuri ila kama nimekuelewa kiaina flan kwamba unataka tu upendeze , uwe na mwili wa kupendeza , ulionawiri ,,, weka data Una kilo ngapi , urefu wako ni kiasi gani , umri .. weka hizo data nione pa kuanzia ...

exactly ,,,ndo nachokihitai
nina kilo 50
umri miaka 22.5
urefu 169cm
 
exactly ,,,ndo nachokihitai
nina kilo 50
umri miaka 22.5
urefu 169cm
ahahahaha kilo hamsini uzito wa mbuzi pale vingunguti,nilidhani mi peke yangu ndio mwepesi kilo 58 kumbe tuko wengi swali je kwenu kuna mnene au unataka kupuliziwa upepo,jaribu dripu ya mayai na maziwa kwa miezi 3
 
URL]
 
Kula sana mavitu ya mafuta mafuta halafu pendelea sana vyakula vya kwenye maboksi kandamiza mwanawani huchelewi!(BP)
 
ahahahaha kilo hamsini uzito wa mbuzi pale vingunguti,nilidhani mi peke yangu ndio mwepesi kilo 58 kumbe tuko wengi swali je kwenu kuna mnene au unataka kupuliziwa upepo,jaribu dripu ya mayai na maziwa kwa miezi 3

kuna wa tu wachokozi loh!
 
kula sana halafu usiwe na stress,hata ule vipi kama una stress utakuwa betina tu
 
Una mume na Kama hauna umeshawah ku.se.x bcs kuna baadhi ya wanawak viung vnakua vmejikunj so ukifany hii kitu yarutubish body na utaona tu mabadiliko
 
Kula mwayego height yako c o mbaya, uzito wako cjaupenda ..u🙂kishanenepa ni PM manake mi napenda mabonge eglish figure c wafagilii..
 
mh watu wana majungu mpaka unakata tamaa,,ila tafanyaje sasa itabidi nivumilie
 
Kuna kirutubisho kimoja kinaitwa MRT , kinasaidia kupunguza unene na kuongeza unene pia... ni PM nikupe maelezo ya kina
 
Back
Top Bottom