Nahitaji kuwashtaki Vodacom

pole mkuu kwa tatizo ulilopata, fatilia kwa utalatibu subra yavuta kheri.
 
papiso, vipi kale kamgomo baridi mlikokaandaa hapo vodacom hq customer care wote kwamba erolink wanawanyonya maana feb. ndo hii. nahisi hii ndio sababu mnatupiga sana kwenye M-PESA sio?!
Kifupi tu sipo voda kwa sasa na ndio stress za mshahara kiduchu hupelekea staff wengi kuibia wateja hasa wale mbuluraa haingii akilini mtu amepewa access ya mamilioni kwa mshahara kiduchu huwa ikitokea fursa watu wanajneemesha tena sana kama mwezi november wizi ulikithiri sana zaidi ya million 400 ziliibiwa hasa ktk selcom mkuu
 


Duh!!!... really! ngoja nihame kimya kimya! hata simbank naiblock! voda ni jipu! nakumbuka last year nilideposit 20,000 from m-pesa to crdb ac! mpaka wa leo nimeisoma namba. nimeamua kutoitumia M-pesa milele daima. r.i.p vodacom mpesa!
 
Samahani mwanzisha uzi naomba nitumie uzi wako japo na mimi niulize swali kwa wataalamu wa sheria kuhusu kesi hii:
Miaka kama minne imepita tangu mzee jirani yetu atoweke katika mazingira ya kutatanisha....huyu mzee alikopa pesa benki mln 50 kwa kutumia kampuni yake ambayo ni LTD...na morgage ya mkopo huoo kaweka nyumba ya familia na kama tujuavyo utaratibu wa nyumba ya family yani matrimonio house shart mama na watoto wapatiwe taharifa juu ya mkopo huo....ila huyo mzee na benki hawakufanya hivyo.
. Yule mzee alifoge sahihi ya mkewe na kutumia nyaraka za mke wake bila tahatifa na ruhusa ya mkewe namanisha alidanganya.....sasa mkopo kapewa na kashindwa rudisha mkopo huo na benk wameamua kuuza nyumba na tayari wametoa siku kumi na nne wanaoishi mule kuhama.....sasa wana sheria hapa tunaweza pata msahada upi ili kuinusuru nyumba na mahangaiko kwa hawa majirani zetu.....natanguliza shukurani.
 
Brother ktk hizi kazi za mobile money kuwa makin sana hasa kwenye mihamala yakuanzia laki mmoja,kabla yakumpa mteja hakikisha salio lako kama limpingezeka.lkn bora umepigwa muhusika mwenyew he ungekuwa umeajiri mtu ungemuelewa kwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…