chiefnyumbanitu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 906
- 426
pole mkuu kwa tatizo ulilopata, fatilia kwa utalatibu subra yavuta kheri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Vodacom si ya Rostam na Lowasa, mijizi iliyoota mapembe?
Kifupi tu sipo voda kwa sasa na ndio stress za mshahara kiduchu hupelekea staff wengi kuibia wateja hasa wale mbuluraa haingii akilini mtu amepewa access ya mamilioni kwa mshahara kiduchu huwa ikitokea fursa watu wanajneemesha tena sana kama mwezi november wizi ulikithiri sana zaidi ya million 400 ziliibiwa hasa ktk selcom mkuu

Anafikiri kwa kutumia lowasaMh. Lowassa anaingiaje hapa!!! hivi Lizaboni huwa unafikiri kwa kutumia nini!!?