Thabit Karim
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 393
- 735
Mfuko wa bond hauwekizi kwenye hisa so mzigo wako utapata ndani ya siku 10 za kazi baada kuandika barua ya kuchukua pesa yako
Ninewekw 40 M naonq kwq mqezi inaongezekq 400.000 sawa na 1%Na je nikishaweka Leo kwa mfano tarehe 6/8/2022 mwezi ujao yaani 6/9/2022 napata changu? Na kwa 10m nikiweka naweza kupata sh ngapi Kila mwezi?
Kuna viwango vya kuwekaNa je nikishaweka Leo kwa mfano tarehe 6/8/2022 mwezi ujao yaani 6/9/2022 napata changu? Na kwa 10m nikiweka naweza kupata sh ngapi Kila mwezi?
15% kwa mwezi? Haiwezekani mkuu.Kuna viwango vya kuweka
1. Kuanzia sh 50000 unakuza mtaji
2. Kuanzia mil 5 utapata gawio kila baada ya miezi sita.
3. Kuanzia 10 mil utapata gawio kila mwezi ambayo ni 15%
Ukijiunga bond Fund utaruhusiwa kuuza vipande vyako baada ya miezi 3-6 itategemea na uwekezaji wako.
Baada ya miezi ya mpito utaruhusiwa kuuza vipande vyako wakati wowote , malipo yatafanyika ndani ya siku za kazi baada ya kupokelewa fomu yako yakuuza vipande.
Inawezekana kitu gani?15% kwa mwezi? Haiwezekani mkuu.
... amejichanganya; kwa bond fund (hati fungani) ni 12% kwa mwaka au 1% kwa mwezi ingawa haiko fixed kutegemea na soko. Kwa kawaida wanakadiria kati 9% - 12% kwa mwaka.15% kwa mwezi? Haiwezekani mkuu.
Hayo ni maelezo kutoka kwenye vyanzo vyao vya habari15% kwa mwezi? Haiwezekani mkuu.
Huu ni mfuko gani unapata hadi 15%?Kuna viwango vya kuweka
1. Kuanzia sh 50000 unakuza mtaji
2. Kuanzia mil 5 utapata gawio kila baada ya miezi sita.
3. Kuanzia 10 mil utapata gawio kila mwezi ambayo ni 15%
Ukijiunga bond Fund utaruhusiwa kuuza vipande vyako baada ya miezi 3-6 itategemea na uwekezaji wako.
Baada ya miezi ya mpito utaruhusiwa kuuza vipande vyako wakati wowote , malipo yatafanyika ndani ya siku za kazi baada ya kupokelewa fomu yako yakuuza vipande.
Kwa mujibu wa Hilo Tangazo Ni 15% kwa mwaka mkuu.Kwa mwezi Ni sawa na wanakupa 1.25%.
Hii ni bond Fund .Huu ni mfuko gani unapata hadi 15%?
Na kila mwezi wanakupa chako?Hii ni bond Fund .
Unaingiziwa gawio unaweza ukalitoa au ukaliacha liendelee kuwa mtaji.Na kila mwezi wanakupa chako?
Vipi kuhusu mfuko wa liquid fundHii ni bond Fund .
Hayo ni maelezo kutoka kwenye vyanzo vyao vya habari
View attachment 2318919
Kuna viwango vya kuweka
1. Kuanzia sh 50000 unakuza mtaji
2. Kuanzia mil 5 utapata gawio kila baada ya miezi sita.
3. Kuanzia 10 mil utapata gawio kila mwezi ambayo ni 15%
Ukijiunga bond Fund utaruhusiwa kuuza vipande vyako baada ya miezi 3-6 itategemea na uwekezaji wako.
Baada ya miezi ya mpito utaruhusiwa kuuza vipande vyako wakati wowote , malipo yatafanyika ndani ya siku za kazi baada ya kupokelewa fomu yako yakuuza vipande.
Kama ni hivyo kwenye 40 mil, anapata laki nne kila mwezi je hii ni percent ngap?Hiyo 15% ni kwa mwaka Mkuu. Sio kwq mwez
Ukiweka 10 mil mfn miaka miwili hapo kutakuwa na mtaji wako wa 10mil + magawio yako ya miaka miwili na kama hujayatoa yataunganishwa sehemu ya mtaji wako wa 10 mil. Kwa hyo ukiuza vipande vyako haviwezi kupungua mtaji utakuwepo na faida juu.Hapo kwny kuuza vipande ndo sijaelewa. Kwa mfano mm nataka kuwekeza milioni 10 je ninapouza vipande maana yake narudishiwa yote milioni 10 au inaweza kupungua hiyo milioni 10 kulingana na Bei za vipande kwa kipindi ninapotaka kuuza?
Ukiweka 10 mil mfn miaka miwili hapo kutakuwa na mtaji wako wa 10mil + magawio yako ya miaka miwili na kama hujayatoa yataunganishwa sehemu ya mtaji wako wa 10 mil. Kwa hyo ukiuza vipande vyako haviwezi kupungua mtaji utakuwepo na faida juu.