Nahitaji kuwekeza UTT AMIS

Nahitaji kuwekeza UTT AMIS

Thabit Karim

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
393
Reaction score
735
Habari,

Nahitaji kuwekeza UTT AMIS kiasi Cha 10 milioni kupitia mfuko wa bond. Naomba kuuliza je nikihitaji nitoe milioni 10 yangu muda wowote naweza kuitoa bila shida yote wala bila kupungua kiasi chochote?

Maana kuna mtu ameniambia unaweza usiitoe yote kulingana na kushuka kwa vipande. Naombeni kutolewa tongotongo kwenye hili
 
Mfuko wa bond hauwekizi kwenye hisa so mzigo wako utapata ndani ya siku 10 za kazi baada kuandika barua ya kuchukua pesa yako
 
Na je nikishaweka Leo kwa mfano tarehe 6/8/2022 mwezi ujao yaani 6/9/2022 napata changu? Na kwa 10m nikiweka naweza kupata sh ngapi Kila mwezi?
 
Ninewekw 40 M naonq kwq mqezi inaongezekq 400.000 sawa na 1%
 
Na je nikishaweka Leo kwa mfano tarehe 6/8/2022 mwezi ujao yaani 6/9/2022 napata changu? Na kwa 10m nikiweka naweza kupata sh ngapi Kila mwezi?
Kuna viwango vya kuweka
1. Kuanzia sh 50000 unakuza mtaji
2. Kuanzia mil 5 utapata gawio kila baada ya miezi sita.
3. Kuanzia 10 mil utapata gawio kila mwezi ambayo ni 15%

Ukijiunga bond Fund utaruhusiwa kuuza vipande vyako baada ya miezi 3-6 itategemea na uwekezaji wako.

Baada ya miezi ya mpito utaruhusiwa kuuza vipande vyako wakati wowote , malipo yatafanyika ndani ya siku za kazi baada ya kupokelewa fomu yako yakuuza vipande.
 
15% kwa mwezi? Haiwezekani mkuu.
 
15% kwa mwezi? Haiwezekani mkuu.
Hayo ni maelezo kutoka kwenye vyanzo vyao vya habari
Screenshot_20220809-105046.jpg
 
Kuna viwango vya kuweka
1. Kuanzia sh 50000 unakuza mtaji
2. Kuanzia mil 5 utapata gawio kila baada ya miezi sita.
3. Kuanzia 10 mil utapata gawio kila mwezi ambayo ni 15%

Ukijiunga bond Fund utaruhusiwa kuuza vipande vyako baada ya miezi 3-6 itategemea na uwekezaji wako.

Baada ya miezi ya mpito utaruhusiwa kuuza vipande vyako wakati wowote , malipo yatafanyika ndani ya siku za kazi baada ya kupokelewa fomu yako yakuuza vipande.
Huu ni mfuko gani unapata hadi 15%?
 
Hapo kwny kuuza vipande ndo sijaelewa. Kwa mfano mm nataka kuwekeza milioni 10 je ninapouza vipande maana yake narudishiwa yote milioni 10 au inaweza kupungua hiyo milioni 10 kulingana na Bei za vipande kwa kipindi ninapotaka kuuza?
 
Ukiweka 10 mil mfn miaka miwili hapo kutakuwa na mtaji wako wa 10mil + magawio yako ya miaka miwili na kama hujayatoa yataunganishwa sehemu ya mtaji wako wa 10 mil. Kwa hyo ukiuza vipande vyako haviwezi kupungua mtaji utakuwepo na faida juu.
 
Sasa mm nataka niwe nabeba magawio yangu kila mwezi. Na je baada ya miezi minne naweza kuitoa milioni 10 yangu yote kamili?
 
Back
Top Bottom