Thabit Karim
JF-Expert Member
- Sep 3, 2012
- 393
- 735
Habari,
Nahitaji kuwekeza UTT AMIS kiasi Cha 10 milioni kupitia mfuko wa bond. Naomba kuuliza je nikihitaji nitoe milioni 10 yangu muda wowote naweza kuitoa bila shida yote wala bila kupungua kiasi chochote?
Maana kuna mtu ameniambia unaweza usiitoe yote kulingana na kushuka kwa vipande. Naombeni kutolewa tongotongo kwenye hili