Nahitaji kwenda Gerezani! Kifungo kisichozidi miezi 6. Nitende Kosa Gani?


kule chakula ni bure smart...


anataka uzoefu kule mwanaume ukilegealegea tu........
 
Mengi yanazungumzwa kuhusu Gerezani, Sasa mimi nahitaji nikajionee, sitaki hadithi.

Ni kosa lipi nikitenda, litanifanya niende Jela japo kwa wiki kadhaa? (isizidi miezi sita).
Nataka nikapate uzoefu wa mambo kadha wa kadha huko Jela.

Nawasilisha!
Utakua na dalili za ushoga umekuanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…