kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,340
- 12,055
Naona hii itamfaaNenda huko gerezani then mpe mfungwa hela.Nadhani hata mahakamani hutapelekwa,utavuliwa nguo na kuvishwa za magereza miezi 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona hii itamfaaNenda huko gerezani then mpe mfungwa hela.Nadhani hata mahakamani hutapelekwa,utavuliwa nguo na kuvishwa za magereza miezi 3
Endesha gari bila leseni...
Ukikamatwa usikaidi kwenda kituoni...
Ukifika kituoni kubali kufunguliwa jalada na kupelekwa mahakamani...
Mahakamani ukishatajiwa hukumu yako ya kulipa fine ya hapo kwa papo au kifungo cha miezi sita... chagua kifungo cha miezi sita...
Cc: mahondaw
Hujamweleza kinagaubaga.kabla ya kuwekwa ndani kuna kipigo cha mbwa kokoNenda kituo cha polisi Alafu mtukane afande pale Utakua karibu kabis na kituo atakuweka ndani
Utakua na dalili za ushoga umekuanza.Mengi yanazungumzwa kuhusu Gerezani, Sasa mimi nahitaji nikajionee, sitaki hadithi.
Ni kosa lipi nikitenda, litanifanya niende Jela japo kwa wiki kadhaa? (isizidi miezi sita).
Nataka nikapate uzoefu wa mambo kadha wa kadha huko Jela.
Nawasilisha!
SAWAUtakua na dalili za ushoga umekuanza.