Nahitaji kwenda Gerezani! Kifungo kisichozidi miezi 6. Nitende Kosa Gani?

Nahitaji kwenda Gerezani! Kifungo kisichozidi miezi 6. Nitende Kosa Gani?

Endesha gari bila leseni...

Ukikamatwa usikaidi kwenda kituoni...

Ukifika kituoni kubali kufunguliwa jalada na kupelekwa mahakamani...

Mahakamani ukishatajiwa hukumu yako ya kulipa fine ya hapo kwa papo au kifungo cha miezi sita... chagua kifungo cha miezi sita...


Cc: mahondaw

kule chakula ni bure smart...


anataka uzoefu kule mwanaume ukilegealegea tu........
 
Mengi yanazungumzwa kuhusu Gerezani, Sasa mimi nahitaji nikajionee, sitaki hadithi.

Ni kosa lipi nikitenda, litanifanya niende Jela japo kwa wiki kadhaa? (isizidi miezi sita).
Nataka nikapate uzoefu wa mambo kadha wa kadha huko Jela.

Nawasilisha!
Utakua na dalili za ushoga umekuanza.
 
Back
Top Bottom