Nahitaji laki 4 nikajifunze masomo ya make-up

Kutokana na ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira nimefikiria kusomea mambo ya makeup artist hv basi pamoja na kipato kua cha chini nimeleta Uzi huu kwenu wana jukwaa mnisaidie laki NNE ya ada niweze kutimiza ndoto zangu.asanteni
Upo mkoa upi mkuu ??

Mimi nitakuunganisha na mtu ujifunze hayo masomo ya make -up kwa laki moja tu
 
Kutokana na ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira nimefikiria kusomea mambo ya makeup artist hv basi pamoja na kipato kua cha chini nimeleta Uzi huu kwenu wana jukwaa mnisaidie laki NNE ya ada niweze kutimiza ndoto zangu.asanteni
ni pm tafadhali nikupe contact yngu 2pange
 
Nina vitabu vya soft copy kuhusu make up kutoka kwa magwiji wa make up duniani ambavyo ukijifunza utapata mwanga tena kitaalamu zaidi na kwa lugha nyepesi kabisa .
Kama uko tayari ni pm nijue nakutumiaje uvipate.
 
Ila kwa taaluma yake akienda mikoa ya pembezoni anaweza akapata kazi za kujishikiza,huku akikusanya mtaji kwa ajili ya mafunzo anayotaka.
 
Nitaanza kufanya kazi kwa watu then nikipata kipato ntajiajiri maana ndio lengo langu
iyo koz unayotaka ukasome, unaeza pata kila kitu YouTube
kama una kichwa chepesi lakini
 
Back
Top Bottom