Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
[emoji23] yani humu kila mtu tajiriLuka Mungu anakuona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] yani humu kila mtu tajiriLuka Mungu anakuona
Kasoro Mimi na Wewe bila kumsahau Mr Likes Wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani humu kila mtu tajiri
Upo mkoa upi mkuu ??Kutokana na ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira nimefikiria kusomea mambo ya makeup artist hv basi pamoja na kipato kua cha chini nimeleta Uzi huu kwenu wana jukwaa mnisaidie laki NNE ya ada niweze kutimiza ndoto zangu.asanteni
ni pm tafadhali nikupe contact yngu 2pangeKutokana na ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira nimefikiria kusomea mambo ya makeup artist hv basi pamoja na kipato kua cha chini nimeleta Uzi huu kwenu wana jukwaa mnisaidie laki NNE ya ada niweze kutimiza ndoto zangu.asanteni
Njoo upate mkopo, riba ni 25% kwa mwezi
Baada ya kusomea hicho ulichotaka then what's next?
EN au nurse attendant( Medical attendant)
Watu wenyew sikuizi hata hawapaki make up
Hiyo hapo chukua 400,000...
Punguza dope mambo yatanyoka tu tunZa hela ya dope
Upo mkoa upi mkuu ??
Mimi nitakuunganisha na mtu ujifunze hayo masomo ya make -up kwa laki moja tu
Maisha hayajawahi kuwa rahisi kiivyo utaishia kudhalilishwa kijinsia tu
iyo koz unayotaka ukasome, unaeza pata kila kitu YouTubeNitaanza kufanya kazi kwa watu then nikipata kipato ntajiajiri maana ndio lengo langu