Nahitaji laki 4 nikajifunze masomo ya make-up

Nahitaji laki 4 nikajifunze masomo ya make-up

dope girl

Member
Joined
Apr 29, 2017
Posts
62
Reaction score
65
Kutokana na ugumu wa maisha na ukosefu wa ajira nimefikiria kusomea mambo ya makeup artist hv basi pamoja na kipato kua cha chini nimeleta Uzi huu kwenu wana jukwaa mnisaidie laki NNE ya ada niweze kutimiza ndoto zangu.asanteni
 
Punguza dope mambo yatanyoka tu tunZa hela ya dope
 
Back
Top Bottom