Nahitaji laki 4 nikajifunze masomo ya make-up

Nina vitabu vya soft copy kuhusu make up kutoka kwa magwiji wa make up duniani ambavyo ukijifunza utapata mwanga tena kitaalamu zaidi na kwa lugha nyepesi kabisa .
Kama uko tayari ni pm nijue nakutumiaje uvipate.
Huu ndio ushauri kuna vitu unaweza kujifunza mwenyewe kupitia mtandao, angalia videos you tube hyo laki nne iwe mtaji, mm nilijifunza kushona , kukata nguo kwa kuangalia videos , nika practise kutumia cherehan mwenyewe nyumban hakuna mtu amenifundisha , sasa make up ndio ulipe laki nne, jiongeze
 
Asante mkuu ntazingatia
 
Back
Top Bottom