kwahiyo w mikoani hamtutaki mnataka wa dar ?Hi,
Kuna memba fulani amenitia moyo, kwamba inawezekana, ngoja nijaribu tena kwa mara ya mwisho.
- Mimi ni mwanamke nina miaka 29
- Naishi DSM
- Elimu certificate
- Mwanafunzi wa mwaka wa 2 chuo fulani Dodoma nimeenda kujiendeleza (hapa nakazia tayari nimeshaajiriwa)
Vigezo vyangu:
1. Mnene kiasi
2. Mwalimu wa Primary
Vigezo vya mwanaume:
1. Awe mweusi
2. Elimu hata chuo sawa
3. Umri 32-40
4. Awe anajishuhurisha yaani ajiajiri ama ameajiriwa fine
5. Aishi DSM pia anivumilie kwani nitakuwa nasoma pia
Karibu inbox
me mwenyewe hapo nimekuna ndoga had ikatoa cheche nikawa najisemea moyo hiyo ni 15%kwa50%Yani we vigezo vyako viwe viwili afu mwanaume awe na vitano kweli unaona ni haki hiyo dadangu?
Npo Ila Nina 21 yrsHellow wapendwa! Heri ya pasaka, upweke sasa umetosha! Nahitaj mwanaume mwenye sifa zifuatazo
1.awe mkatoliki
2.awe anaishi dsm
3.awe anajishughulisha
4.umri 33-40
5.awe mweusi
Sifa zangu,
1.umri miaka 29
2.kazi nimeajiriwa serikalin
3.nina shahada ya elimu
4.mnene kias
N.b akubali kupima UKIMWI
Utapata ucjaliNdo maana kwenye post yangu kuna memba kanitia moyo, karibu
Njoo pm nikushaur