Hi,
Kuna memba fulani amenitia moyo, kwamba inawezekana, ngoja nijaribu tena kwa mara ya mwisho.
- Mimi ni mwanamke nina miaka 29
- Naishi DSM
- Elimu certificate
- Mwanafunzi wa mwaka wa 2 chuo fulani Dodoma nimeenda kujiendeleza (hapa nakazia tayari nimeshaajiriwa)
Vigezo vyangu:
1. Mnene kiasi
2. Mwalimu wa Primary
Vigezo vya mwanaume:
1. Awe mweusi
2. Elimu hata chuo sawa
3. Umri 32-40
4. Awe anajishuhurisha yaani ajiajiri ama ameajiriwa fine
5. Aishi DSM pia anivumilie kwani nitakuwa nasoma pia
Karibu inbox