Nahitaji mahusiano ya urafiki wa kimapenzi mpaka ndoa

Nahitaji mahusiano ya urafiki wa kimapenzi mpaka ndoa

Status
Not open for further replies.
Hi,

Kuna memba fulani amenitia moyo, kwamba inawezekana, ngoja nijaribu tena kwa mara ya mwisho.

  • Mimi ni mwanamke nina miaka 29
  • Naishi DSM
  • Elimu certificate
  • Mwanafunzi wa mwaka wa 2 chuo fulani Dodoma nimeenda kujiendeleza (hapa nakazia tayari nimeshaajiriwa)

Vigezo vyangu:
1. Mnene kiasi
2. Mwalimu wa Primary

Vigezo vya mwanaume:
1. Awe mweusi
2. Elimu hata chuo sawa
3. Umri 32-40
4. Awe anajishuhurisha yaani ajiajiri ama ameajiriwa fine
5. Aishi DSM pia anivumilie kwani nitakuwa nasoma pia

Karibu inbox
kwahiyo w mikoani hamtutaki mnataka wa dar ?
 
Yani we vigezo vyako viwe viwili afu mwanaume awe na vitano kweli unaona ni haki hiyo dadangu?
me mwenyewe hapo nimekuna ndoga had ikatoa cheche nikawa najisemea moyo hiyo ni 15%kwa50%
 
Hellow wapendwa! Heri ya pasaka, upweke sasa umetosha! Nahitaj mwanaume mwenye sifa zifuatazo
1.awe mkatoliki
2.awe anaishi dsm
3.awe anajishughulisha
4.umri 33-40
5.awe mweusi
Sifa zangu,
1.umri miaka 29
2.kazi nimeajiriwa serikalin
3.nina shahada ya elimu
4.mnene kias
N.b akubali kupima UKIMWI
Npo Ila Nina 21 yrs
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom