Nahitaji marafiki wa kubadilishana nao mawazo

nimekubali mimi ni mgeni maana kila post napewa lawama mgeni mgeni πŸ€”πŸ€” lengo ni kuondoa stress na kupotezea vitu nipo humu kukutana na watu tofauti

nahitaji marafiki zaidi karibuni sana 😘😘
Ndiyo tunywe pepsi tukiwa mafulendi? Aaaargh!Hebu jiongeze wewe fulendi!
 
nimekubali mimi ni mgeni maana kila post napewa lawama mgeni mgeni πŸ€”πŸ€” lengo ni kuondoa stress na kupotezea vitu nipo humu kukutana na watu tofauti

nahitaji marafiki zaidi karibuni sana 😘😘
Umesema unataka rafiki wa kubadilishana mawazo?Hivi,nikikupa mawazo yangu uyatumie utabaki salama kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…