Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Khaa hebu zoom vizuri, visungura hapo havipo! Ni dawa tu😎Tatizo avatar hiyo kwa mbali inaonekana kama Mzee anayepiga visungura 😂
Khaa hebu zoom vizuri, visungura hapo havipo! Ni dawa tu😎Tatizo avatar hiyo kwa mbali inaonekana kama Mzee anayepiga visungura 😂
Imagine😆Kwa hiyo tutabadilishana mawazo huku tunakunywa pepsi?
Huyu mtu atakuwa hawajui wadogo zangu wa humu vitu mnapenda 😂😂Imagine😆
Ametuudhi mno we acha tu Dada’ake!Huyu mtu atakuwa hawajui wadogo zangu wa humu vitu mnapenda 😂😂
Kazingua sana ha haaAmetuudhi mno we acha tu Dada’ake!
imagine 🤓Imagine😆
Hii ni tamu ukiipata jua kali! Jioni unaimix na hunting lodge..imagine 🤓View attachment 3598107
nadhani dulla anaandaa tu mazingira !🤒Hii ni tamu ukiipata jua kali! Jioni unaimix na hunting lodge..
Ya kufanya nini?nadhani dulla anaandaa tu mazingira !🤒
eeh! ya kubadilishana mawazo.........Ya kufanya nini?
Sawaeeh! ya kubadilishana mawazo.........
okkSawa
Huyu litamkuta jambo soon, lazima tumchallenge apunguze wenge!okk
Sijui leo ataleta uzi gani, yani sehem ya kuingiza kichwa mpaka miguu kaingiza 🤓
Hizo Emoj kwenye chapisho huyu ni wa kiume au wa kike?Andika vizuri! Hee nini ss, kaza!!
Eti wa kiume dah!Hizo Emoj kwenye chapisho huyu ni wa kiume au wa kike?
Upo!Heeee 😂😂😂
Nipo AiseeUpo!
Ulipotelea wapi ....Nipo Aisee
Acha tuUlipotelea wapi ....
Nani huyo kakuficha hivo!