Nahitaji marafiki wa kubadilishana nao mawazo

Una mawazo gani mapya ya kubadilishana?
 
Nimekubali mimi ni mgeni maana kila post napewa lawama mgeni mgeni πŸ€”πŸ€” lengo ni kuondoa stress na kupotezea vitu nipo humu kukutana na watu tofauti

Nahitaji marafiki zaidi karibuni sana 😘😘

View attachment 3597064
Comrade ulikuwa unatumikia kifungo jela!! Mbona hii dunia ya kutafuta marafiki wa kubadilishana nao mawazo tuliiacha miaka zaidi ya 20 iliyopita!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…