dolly eyes
New Member
- Aug 13, 2019
- 4
- 4
karibu nipo hapaHabari wana JF
Jaman kwa yoyote anayehisi anayeweza kuwa rafiki yangu karibu sana.
NB: sijali umri,dini wala jinsia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah neema imenishukia nami leo ..maana vigezo huwa tatizo
Shukrankaribu nipo hapa
KaribuDaah neema imenishukia nami leo ..maana vigezo huwa tatizo
Nafuu kabisaUrafiki wetu utakuwa wa masharti nafuu au magumu?
Nipo hapa, fanya kuni pmHabari wana JF
Jaman kwa yoyote anayehisi anayeweza kuwa rafiki yangu karibu sana.
NB: sijali umri,dini wala jinsia.
Watakuja wengi mpaka ushangae usiwafukuze tu
Kabisa mkuuMaana yeye mwenye kawaomba ahahahahahha
Habari wana JF
Jaman kwa yoyote anayehisi anayeweza kuwa rafiki yangu karibu sana.
NB: sijali umri,dini wala jinsia.
Hatuendi sasa Kwa taarifa yakoWatakuja wengi mpaka ushangae usiwafukuze tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nendeni uko pm mmeitwaHatuendi sasa Kwa taarifa yako
πππππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nendeni uko pm mmeitwa
Halafu mkiitwaga kama hivi waoga nyie
nami nahisi naweza, nikaribie pm au wapiHabari wana JF
Jaman kwa yoyote anayehisi anayeweza kuwa rafiki yangu karibu sana.
NB: sijali umri,dini wala jinsia.