Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wana JF
Jaman kwa yoyote anayehisi anayeweza kuwa rafiki yangu karibu sana.
NB: sijali umri,dini wala jinsia.
Njoo PM tuongee vizuriHabari wana JF
Jaman kwa yoyote anayehisi anayeweza kuwa rafiki yangu karibu sana.
NB: sijali umri,dini wala jinsia.
MfyuuuNjoo pm mrembo
Mfyuuu
na wewe haka kapicha kako kila siku tunatamani ugeuke sio vizuri!Kabisa mkuu
Nageukaje sasa na huyo sio mimi ukisubiri kugeukiwa na mimi usije nikimbia tuna wewe haka kapicha kako kila siku tunatamani ugeuke sio vizuri!
teh..teh..teh... ndo umwambie ageuke!Nageukaje sasa na huyo sio mimi ukisubiri kugeukiwa na mimi usije nikimbia tu
Namwambiaje na nimeiiba tu picha ya watuteh..teh..teh... ndo umwambie ageuke!View attachment 1191123
hapa hajaagiza au kapigika? magu mbaya
Kwema?Unawashwa?
Unawahakikishia vipi hao marafiki utakaowapata hutokuja kupost yebo yebo zao siku za baadae?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona sielewi jamani..nasikia tu yebo yebo mara watu wamekimbia I'd zao..Shem embu nin'gate sikio mwenzioqqUnawahakikishia vipi hao marafiki utakaowapata hutokuja kupost yebo yebo zao siku za baadae?
Eeeh rafik mambo vp n rafk yako unankumbuka??Habari wana JF
Jaman kwa yoyote anayehisi anayeweza kuwa rafiki yangu karibu sana.
NB: sijali umri,dini wala jinsia.
Acha tu shemela...watu wamechomoa betri humu ni ngumu hata kupata mrembo mpya humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona sielewi jamani..nasikia tu yebo yebo mara watu wamekimbia I'd zao..Shem embu nin'gate sikio mwenzioqq
[emoji23][emoji23] Shem umeandika kiupole Sana..wahuni wamekuharibia mipango [emoji848][emoji848]..subiri week ipite uanze mawindo upyaAcha tu shemela...watu wamechomoa betri humu ni ngumu hata kupata mrembo mpya humu
Wahuni sio watu wazuri...[emoji23][emoji23] Shem umeandika kiupole Sana..wahuni wamekuharibia mipango [emoji848][emoji848]..subiri week ipite uanze mawindo upya