Nahitaji marafiki

Nahitaji marafiki

ninakiuno kigumu Mana umri huo kulala usiku hua hamtaki hua mnafili kutazama paa/roof usikuwote because anything can happen
 
Huko Dodoma unemuona job ndugai hata Kwa Bahati mbaya?? Mwambie tunamtafuta
 
Marafiki mkuje huku mnajitajika Lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
 
Napenda sana kujiconnect na watu wapya , hvo natafuta marafiki wawe wa kike au kiume its okay, tubadilishane mawazo a kushare life experience, then as u know anything can happen anytime [emoji3].

Naitwa Bree niko na miaka 23 natokea dodoma
Karibu mimi nipo tayari kuwa rafiki yako.. maelezo zaidi karibu ndani kwanza..
 
Napenda sana kujiconnect na watu wapya , hvo natafuta marafiki wawe wa kike au kiume its okay, tubadilishane mawazo a kushare life experience, then as u know anything can happen anytime [emoji3].

Naitwa Bree niko na miaka 23 natokea dodoma
waaaaaah msupa. Nakam kwa PM soon.
 
Back
Top Bottom