Nahitaji marafiki

Nahitaji marafiki

Hi

Leo nimetaman kuwa na marafiki wapya kabisa wenye mawazo chanya ambao tunaweza share vitu kwa na confidentiality
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Umeamua kuja tena ama kweli
 
Hivi mwanaume unaanzaje kuomba urafiki? Mimi nadhan the way unavyojichanganya na watu, ndio marafiki na washkaji watapatikana humo humo.

Kuna mwenzako mmoja, alishawahi kuja kuomba marafiki wapya wa kumsaidia kuondokana na upweke aliokuwa nao at the age of 19. Ila later on ikajulikana kuwa ni oya oya.
Hi

Leo nimetaman kuwa na marafiki wapya kabisa wenye mawazo chanya ambao tunaweza share vitu kwa na confidentiality
 
Hivi mwanaume unaanzaje kuomba urafiki? Mimi nadhan the way unavyojichanganya na watu, ndio marafiki na washkaji watapatikana humo humo.

Kuna mwenzako mmoja, alishawahi kuja kuomba marafiki wapya wa kumsaidia kuondokana na upweke aliokuwa nao at the age of 19. Ila later on ikajulikana kuwa ni oya oya.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Daaah hatari sana hawa madogo wa saizi sijui wakoje asee
 
[emoji849][emoji849][emoji849] ivi humu ukiomba urafiki kweli
Unapata? Siinzan najua the way unavyo changia ndivyo marafiki wanakuja mfan mimi ninao marafiik
Lakin sikuwai omba urafiki hapa tangu siku ya kwaza kuingi jf
Unawapata, sema inabidi ulipie. Mcheki Gily ndio mishe zake πŸ˜…πŸ˜…
 
Nami natafuta rafiki... Unaweza kukubali kuwa rafikiangu?
 
Samahani wewe ni Me, au Ke? watu wanapenda kukuzungumzia vibaya ila unaonekana unafurahia. Kwa nini?
unakasirikaje maisha ya mitandaon mkuu tena JF tunapoish na Id zetu fakeπŸ˜‚
 
Back
Top Bottom