Nahitaji Mchumba miezi 4 kisha nimwoe Mwakani mwezi January

Nahitaji Mchumba miezi 4 kisha nimwoe Mwakani mwezi January

Daaaah.... Sijui kwa nini? Mbona mimi ni mtu poa sana humu JF nisiye na makuu, mpole na mstaarabu. Labda ni sababu wadada wengi hawanioni nikiwatongoza sana wanaona labda siwapendelei. Nataka mke kweli kweli.
Hizi sifa ulizotoa kama unataka kugombea Ubunge mkuu mpole, mstaarabu yaani zote hizo sifa zako hizo sio..
 
Seran usije kusema nyie single mother wenye watoto watano kila mtoto na babake mnatengwa 😂
 
Naomba niweke wazi hili mapema. Nahitaji mwanamke ambaye atakuwa mchumba wangu kwa miezi minne. Mi nakuja Tz mwezi wa 10 katikati. So hapo tutaonana live.

Nitakuwepo Tz mpaka mwisho wa January so nataka mwanamke ambaye nikishamwoa tu awe tayari nisafiri naye. Mimi makazi yangu ni Egypt, China, South Africa, UAE na Uk. Huko ndo huwa nakaa kwa muda mreFU.

So nahitaji mwanamke ambaye atakuwa radhi ku move nami.
SIFA ZAKE
1. Awe na Elimu isiyopungua Kidato cha Sita Division 3.
2. Awe ana uwezo wa kuzungumza lugha ya Kiingereza bila kigugumizi
3. Asiwe amezidi miaka 40 asiwe na zaidi ya mtoto mmoja.
4. Awe na makebo kiasi asiwe flat screen.
5. Rangi yoyote ya asili yaani mwili mzima.
6. Awe na bastola (hips) ni muhimu kwangu navutiwa nazo. Makebo plus Hips. Na sura ya kuvutia pia.
7. Awe na akili iliyokomaa asitake kuwa kama mdangaji.
8. Awe na au awe tayari kuwa na vigezo vya kupata driving licence na passport
9. Kwa mara ya kwanza kama ana mtoto hatokuja na mtoto.
10. Awe na tayari kuzaa watoto wawili.

Tuwasiliane kwa aliye serious.
Mkuu bado upo unatamba aisee kweli uchawi upo 🤣🤣🤣
Vigezo ulivyoweka hapo ni ngumu kwa dunia ya sasa labda asilimia 35 mpaka 45 unaweza ukavipata.

Mwenye makebo akili hana 🤣na suala la kuzaa nalo ni mipango ya Mungu. Kila la kheir Mkuu
 
Back
Top Bottom