Nahitaji Mchumba miezi 4 kisha nimwoe Mwakani mwezi January

Mkuu bado upo unatamba aisee kweli uchawi upo 🀣🀣🀣
Vigezo ulivyoweka hapo ni ngumu kwa dunia ya sasa labda asilimia 35 mpaka 45 unaweza ukavipata.

Mwenye makebo akili hana 🀣na suala la kuzaa nalo ni mipango ya Mungu. Kila la kheir Mkuu
Ndo huwa shida. Makebo mara nyingi hayaendani na akili.... 🀣
 
Anataka tuwe tunaitika kingereza on bed🀣
Ni ku scream tu ooh yesss😁
Teh teh oooh yeees Baby alafu sauti unaitolea kooni wale wa Chabo watashuhudia movies tuu siyo maneno kazi ipo brooo.
 
Naomba niweke wazi hili mapema. Nahitaji mwanamke ambaye atakuwa mchumba wangu kwa miezi minne. Mi nakuja Tz mwezi wa 10 katikati. So hapo tutaonana live.

Nitakuwepo Tz mpaka mwisho wa January so nataka mwanamke ambaye nikishamwoa tu awe tayari nisafiri naye. Mimi makazi yangu ni Egypt, China, South Africa, UAE na Uk. Huko ndo huwa nakaa kwa muda mreFU.

So nahitaji mwanamke ambaye atakuwa radhi ku move nami.
SIFA ZAKE
1. Awe na Elimu isiyopungua Kidato cha Sita Division 3.
2. Awe ana uwezo wa kuzungumza lugha ya Kiingereza bila kigugumizi
3. Asiwe amezidi miaka 40 asiwe na zaidi ya mtoto mmoja.
4. Awe na makebo kiasi asiwe flat screen.
5. Rangi yoyote ya asili yaani mwili mzima.
6. Awe na bastola (hips) ni muhimu kwangu navutiwa nazo. Makebo plus Hips. Na sura ya kuvutia pia.
7. Awe na akili iliyokomaa asitake kuwa kama mdangaji.
8. Awe na au awe tayari kuwa na vigezo vya kupata driving licence na passport
9. Kwa mara ya kwanza kama ana mtoto hatokuja na mtoto.
10. Awe na tayari kuzaa watoto wawili.

Tuwasiliane kwa aliye serious.
Kila la kheri.
 
Mkuu sina sifa, nikija huko nakuja 'kujizalilisha' tu 😁😁

But unaweza ukawa una kipapiro kitamu ukani convince. Usikate tamaa na usikubali kushindwa. Lazima upambane au hujawahi wasikiliza motiveshno spikaz? Jipige kwenye matanganian sema mimi naweza, mimi nafaa. Kisha chukua hatua.
 
Hayo masharti kwa hizi kashata zetu za hapa maskani hapo Mkuu umeufyata
 
But unaweza ukawa una kipapiro kitamu ukani convince. Usikate tamaa na usikubali kushindwa. Lazima upambane au hujawahi wasikiliza motiveshno spikaz? Jipige kwenye matanganian sema mimi naweza, mimi nafaa. Kisha chukua hatua.
Kwa hiyo interview ni kutoa kipapiro uonje ndio utoe maamuzi? 😁😁
 
Nakufundisha kupambana na kutokata tamaa zinapotokea fursa my dear. Unakuwa mwanamke wa shoka hakuna kushindwa
 
Back
Top Bottom