Nahitaji mchumba wa kike anaejielewa, umri wangu 25 nimejiajiri. Hata akiwa ananizidi umri sio mbaya, awe anajielewa tu

Hela ikikubali unazibutua kwanza nene, nyembamba, mfupi, mrefu, mwenye tacall, asie na tacall, maex unakumbushia unaenda kwa waliokukataa kipindi una boksa Moja unapiga....baadae ndo uwaze sasa kuoa hapo una 33yrs flan hv
😁😁 na chakushangaza huo mpango unafanikiwa 100%
 
Mnaocomment mnadhan maisha bado yapo vile vile. Sikuhz mwanaume 25yrs ni 35 years ya zamani. Acheni kukariri maisha. Sisi sio nyie mlokua mnasubiri wazee wenu wafe mlithishwe nyumba mziuze. Unanisoma TAI DUME na wenzako? Watu tumeanza kuhustle toka form 2, likizo ya form 4 tumeingia migodini, chuo naingia tyr nina account inasoma 15m++

Nina 25yrs ila nina gari, nina duka la electronics hapa town, na nina kiwanja ambamo nina mjengo umefika renta, ninakaa apartment ya 700k kwa mwezi. Mpaji Mungu acheni kukariri maisha

Na hao madem nishakula sana, wewe unadhan nimepataje mtoto? Nmeanza kula pisi hadi za 3rd year nikiwa 1st year sababu ya hela nlokua nayo.

Kwangu nimefikia level ya kutengeneza familia. Acheni kukariri maisha.

cocastic pekee ndo kaongea point, mama mtoto wangu tuna vikwazo vingi sana, dini, wazazi wake bado oldschool pia hawanitaki. Yy mwenyewe anaolewa mwezi wa nane. Angekua tyr ningekaa nae, hivo usikurupuke kujudge kama hujajua situation, sio kila single mother ni zao la mwanaume, kuna muda wanawake wenyewe ndo wanafanya tuache hayo mahusiano.

Evelyn Salt ubao kuwa 1-0 kwa mwanaume ni kawaida. Sisi wanaume umri unavyoenda ndo tunazidi kunawiri, tofauti na wanawake. Mwanamke akishazaa tu ana-depreciate saana kimwili, kiakili na kisaikolojia na ndo maana Magu hakutaka hawa waliozaa warudi shule. I hope you get my point sweetheart.
 
Nimekusahau ephen_ unasema ngoja nikue kue, isingekua anonymousity ningekuelekeza maduka yangu yalupo uende uone nimeajiri watu wenye umri gn, na wananiheshimu. Anyway huwa siombi respect. Ila ww ndo inabidi ukue kue kwanza
 
Kwanini unataka hivyo mdgo wangu🙄
Ili nizae katoto kangu kamoja

mchumba wangu ana mtoto 1 nimemwambia kabla ya kunioa ahakikishe anapata wa 2 na mimi nitamzalia 1 jumla watoto 3
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa sanaa. Hebu amka Dogo utajikolea,
Hii ndoto yako imekuzidi uwezo wa kuratibu usingizi.
 
Ili nizae katoto kangu kamoja

mchumba wangu ana mtoto 1 nimemwambia kabla ya kunioa ahakikishe anapata wa 2 na mimi nitamzalia 1 jumla watoto 3
Kuwa makini tu,kwa hiyo bwana mwashambwa umempuuzia?
 
Shida sio kunawiri kaka, shida ni umekaa na mwenzio mmepandishiana miguu kwa mahaba, mara vuuuup mama junia anakutumia picha kushukuru nguo zimemtosha junia.....🥹🥹

 

Sawa sawa
 
Wee umechanganyikiwa nini

Yani demu akuzidi umri slfu ni hapa Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…