Mnaocomment mnadhan maisha bado yapo vile vile. Sikuhz mwanaume 25yrs ni 35 years ya zamani. Acheni kukariri maisha. Sisi sio nyie mlokua mnasubiri wazee wenu wafe mlithishwe nyumba mziuze. Unanisoma
TAI DUME na wenzako? Watu tumeanza kuhustle toka form 2, likizo ya form 4 tumeingia migodini, chuo naingia tyr nina account inasoma 15m++
Nina 25yrs ila nina gari, nina duka la electronics hapa town, na nina kiwanja ambamo nina mjengo umefika renta, ninakaa apartment ya 700k kwa mwezi.
Mpaji Mungu acheni kukariri maisha
Na hao madem nishakula sana, wewe unadhan nimepataje mtoto? Nmeanza kula pisi hadi za 3rd year nikiwa 1st year sababu ya hela nlokua nayo.
Kwangu nimefikia level ya kutengeneza familia. Acheni kukariri maisha.
cocastic pekee ndo kaongea point, mama mtoto wangu tuna vikwazo vingi sana, dini, wazazi wake bado oldschool pia hawanitaki. Yy mwenyewe anaolewa mwezi wa nane. Angekua tyr ningekaa nae, hivo usikurupuke kujudge kama hujajua situation, sio kila single mother ni zao la mwanaume, kuna muda wanawake wenyewe ndo wanafanya tuache hayo mahusiano.
Evelyn Salt ubao kuwa 1-0 kwa mwanaume ni kawaida. Sisi wanaume umri unavyoenda ndo tunazidi kunawiri, tofauti na wanawake. Mwanamke akishazaa tu ana-depreciate saana kimwili, kiakili na kisaikolojia na ndo maana Magu hakutaka hawa waliozaa warudi shule. I hope you get my point sweetheart.