Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Ndugu zanguni watanzania wenzangu wapenda amani.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, mtaratibu, mpenda haki, mpole , mwenye elimu ya chuo kikuu, na ni mwanasheria mwenye uzoefu wa miaka mi4 mpaka sasa. Ninaishi dar es salaam.
Nia yangu ni kufikisheni ombi lenu kenu, na kutangaza haja yenu kwenu waungwana kwani huwezi jua wapi utapata msaada.
Mimi nimekuwa victim wa matapeli wa mapenzi, nikiishia kuchunwa tu kila mara, hii ni kutokana na moyo wangu wa huruma na upendo kwa jinsia hii ya kike. Mpaka umri huu sijafanikiwa kupata mchumba. umri unakimbia na mashinikizo kutoka kada mbali mbali pia kunitaka kupata jiko.. hii ni kutokana na huduma yangu ninayoifanya kwa jamii kuhitaji mtu anayejiheshimu na mwenye familia.
Hivyo basi, wewe kama binti wa kitanzania mwenye sifa zifuatazo naomba unitafute tuangalie uwezekano wa kutatua tatizo langu hili:
1. umri si zaidi ya miaka 25.
2. awe mweusi au mweupe sawa tu ila sio mweusi sanaaa.
3. Dini awe mkristo.
4. Elimu ya kidato cha sita na kuendelea.
5. Awe anajitambua na mwenye kujishughulisha ajira sio lazima.
6. Mcha Mungu.
7. Asiyetegemezi na kupenda matanuzi ya kila wakati.
8. Kama unaweza tuma picha pia , kama huna sawa tu.(wenye picha watapewa kipaumbele).
9. Kabila LOLOTE LILE.
Nawashukuru wote kwa mliotumia muda wenu kupitia waraka huu, na mabinti wote wa kitanzania mlioona haja ya kumsaidia kaka yenu.
Upendo kwa wote.