Nahitaji mchumba wa kike.

Nahitaji mchumba wa kike.

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Ndugu zanguni watanzania wenzangu wapenda amani.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, mtaratibu, mpenda haki, mpole , mwenye elimu ya chuo kikuu, na ni mwanasheria mwenye uzoefu wa miaka mi4 mpaka sasa. Ninaishi dar es salaam.

Nia yangu ni kufikisheni ombi lenu kenu, na kutangaza haja yenu kwenu waungwana kwani huwezi jua wapi utapata msaada.

Mimi nimekuwa victim wa matapeli wa mapenzi, nikiishia kuchunwa tu kila mara, hii ni kutokana na moyo wangu wa huruma na upendo kwa jinsia hii ya kike. Mpaka umri huu sijafanikiwa kupata mchumba. umri unakimbia na mashinikizo kutoka kada mbali mbali pia kunitaka kupata jiko.. hii ni kutokana na huduma yangu ninayoifanya kwa jamii kuhitaji mtu anayejiheshimu na mwenye familia.

Hivyo basi, wewe kama binti wa kitanzania mwenye sifa zifuatazo naomba unitafute tuangalie uwezekano wa kutatua tatizo langu hili:

1. umri si zaidi ya miaka 25.
2. awe mweusi au mweupe sawa tu ila sio mweusi sanaaa.
3. Dini awe mkristo.
4. Elimu ya kidato cha sita na kuendelea.
5. Awe anajitambua na mwenye kujishughulisha ajira sio lazima.
6. Mcha Mungu.
7. Asiyetegemezi na kupenda matanuzi ya kila wakati.
8. Kama unaweza tuma picha pia , kama huna sawa tu.(wenye picha watapewa kipaumbele).
9. Kabila LOLOTE LILE.

Nawashukuru wote kwa mliotumia muda wenu kupitia waraka huu, na mabinti wote wa kitanzania mlioona haja ya kumsaidia kaka yenu.

Upendo kwa wote.
 
¤
Mbona we hujaweka picha. Halaf peleka huu uzi wako kule love connect
 
ReV kaboka Mchizi.. yaani hapo ulipo hata hujielewi kuwa wewe ni Rev au ni chizi..sijui tukuweke kwenye kundi gani maana kote kote hufai.. kama wewe huhitaji.. usikoment waache wenye uhitaji wafanye wanachokitaka..hakuna mahali ambao hakuna msaada hata humu pia..maamuzi ni ya mhitaji..
 
Hapa ndio utakutana na matapeli zaidi....hutaki jimama?
Mhh hivi kwenye love kunajali limama, libibi au kakijana...

I believe love ukiipanda popote pale inaota so long as kuna rutuba.. kwahio kama wewe ni jimama lenye mapendo ya kweli am sure hata asiyependa majimama you can change him
 
Hitaji lake ni mchumba wa kike! Hajasema anataka mke wa kuoa!
 
Mhh hivi kwenye love kunajali limama, libibi au kakijana...

I believe love ukiipanda popote pale inaota so long as kuna rutuba.. kwahio kama wewe ni jimama lenye mapendo ya kweli am sure hata asiyependa majimama you can change him
we ni SHE HE or Shemale.

na ikiwa we ni He wa kama miaka ishiri mpaka thelathini waweza chukua mwanamke wa miaka 60 na kuendelea?
 
Jamani umei huo, yaani mie umri ni rivasi ya hizo namba.
 
we ni SHE HE or Shemale.
kweli hakutukanae hakuchagulii tusi..,
na ikiwa we ni He wa kama miaka ishiri mpaka thelathini waweza chukua mwanamke wa miaka 60 na kuendelea?
Am He by the way.., ofcourse kutokana na culture zetu na ile physical appearance huenda mwanamke wewe ambae unamuongelea wa miaka sitini ni kwamba menopause imemfika na hana nguvu wala meno, lakini you will be surprised some ladies wa miaka 60-70 they look like they are in mid 20s... Ofcourse sijachukua mama wa miaka 60 lakini sitakuwa surprised wala kujudge kijana wa miaka 20 akichukua mama wa miaka 60...,
 
samahani mkuu sijakutukana maana kwa jina tu huwezi jua kama mtu ni jinsi gani. asante kwa kunielewa
 
no offence taken.... Just to clarify

Sun Wu better known as Sun Tzu or Sunzi , was an ancient Chinese military general, strategist and philosopher who is traditionally believed, and who is most likely, to have authored The Art of War, an influential ancient Chinese book on military strategy.
 
samahani, mi nshachimbiwa nimekosea njia
 
unaolewa na mtu unayempenda,sio unayemuonea huruma...lol tangazo lako umeliweka kama uonewe huruma vile lol
 
Picha yako iko wap? Might be convinced
 
Ndugu zanguni watanzania wenzangu wapenda amani.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, mtaratibu, mpenda haki, mpole , mwenye elimu ya chuo kikuu, na ni mwanasheria mwenye uzoefu wa miaka mi4 mpaka sasa. Ninaishi dar es salaam.

Nia yangu ni kufikisheni ombi lenu kenu, na kutangaza haja yenu kwenu waungwana kwani huwezi jua wapi utapata msaada.

Mimi nimekuwa victim wa matapeli wa mapenzi, nikiishia kuchunwa tu kila mara, hii ni kutokana na moyo wangu wa huruma na upendo kwa jinsia hii ya kike. Mpaka umri huu sijafanikiwa kupata mchumba. umri unakimbia na mashinikizo kutoka kada mbali mbali pia kunitaka kupata jiko.. hii ni kutokana na huduma yangu ninayoifanya kwa jamii kuhitaji mtu anayejiheshimu na mwenye familia.

Hivyo basi, wewe kama binti wa kitanzania mwenye sifa zifuatazo naomba unitafute tuangalie uwezekano wa kutatua tatizo langu hili:

1. umri si zaidi ya miaka 25.
2. awe mweusi au mweupe sawa tu ila sio mweusi sanaaa.
3. Dini awe mkristo.
4. Elimu ya kidato cha sita na kuendelea.
5. Awe anajitambua na mwenye kujishughulisha ajira sio lazima.
6. Mcha Mungu.
7. Asiyetegemezi na kupenda matanuzi ya kila wakati.
8. Kama unaweza tuma picha pia , kama huna sawa tu.(wenye picha watapewa kipaumbele).
9. Kabila LOLOTE LILE.

Nawashukuru wote kwa mliotumia muda wenu kupitia waraka huu, na mabinti wote wa kitanzania mlioona haja ya kumsaidia kaka yenu.

Upendo kwa wote.

wakristo wapo kibao,niambie ww dhehebu gani?afu ntakujibu
 
Back
Top Bottom