Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

hujapata kazini,njian,sokoni,kanisani, jamaa zako, family friends, kwenye semina,dukani kwa mangi,uje utafute Jf? hapa kuna scenario kadhaa haziko sawa wew mwenyw unazijua, pia acha kuchagua sana maana anaweza akawa na sifa 2 kati ya hizo ukamkataa?naona member zinalalamika hapo kwa ufupi walionao, mnataka "show off" sana madada wa siku hizi. na anaweza akatokea mwenye sifa hizo akakugegeda na akalala mbele. kua makini mi siamin kama humu ni sehemu sahihi ya kutafuta MUME
 
Hawa pengine ni miongoni mwa wale wanaodengua wakiwa na umri fulani na kujikweza. Wakiona umri unakimbia wanakuja kutusumbua huku
 
Update ya yaliojiri au wanakuchapa na kulaza mbele ili waoaji tujue kama nafasi ipo bado
 
Karibu sana pm
 
Karibu pm
 
Vigezo na mashart vinapungua😂😂
 
Nina 45 vipi naweza fanya maombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…