Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

Kuna mtu alituma hapa picha yake mda huu nimeiona mods wamefuta tayari..

Duh

Zegota unamjua huyu na hiyo picha yake uliyotuma hapa umritoa wapi?
 
Usitudanganye wewe ni MFUPI bhana, why povu lote hilo
Nachukizwa na namna wanawake wanavyochagua spishi ambazo hawawezi kuziumba kwa namna ya unyanyapaa kuhusu umbile langu njoo pm Kama wewe ni mdada.
 
Dah! Nasikitika kuona hili tangazo leo bila shaka nimechelewa kujichukulia jiko hapa.
 
Sie tusio na vigezo tuendeleeni kusoma tu comment huenda na sie akina dada wakatufikiria wenye cv ndogo
 
Hello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.

Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.

Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani

NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.

kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)

Weekend njema.
Ila dada ungeweka na picha yako na sisi waowaji tujue kama yaliomo yamo
 
Back
Top Bottom