Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

sifa zote sina kwa weli

ila kama kweli uko siriasi na wakukuna kunakotukuka nipm

ni mimi wako mwanaume mashine

😀
 
Hello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.

Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.

Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani

NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.

kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)

Weekend njema.
Una mvuto wa sura na akili ?
 
Ma siksi paki, mavifua ,mapushapu ,mamisuli ka mwili flani chakujazia vile ataeza endo zile moja na mbili, wakati mnanyoosha migongo dada angu vp izo kategori na wenyewe pm yako inawahusu ili wasidevele
 
Mimi nnamika 25 ninavigezo vyoooooteeeeeee Apo
Ila umri si namba tuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Are you the type of person who adds value to your man or else ?
Ok well , i can't say I'm or not ila nnachoamini hakuna mwanamke asiyependa kuwa part ya mafanikio ya rafiki,mumewe hata kwa mchango wake mdogo aliojaaliwa mfano ideas,tulizo la mwili na akili nk. Kama ni huo mvuto wa akili basi wote wanao.
 
Ma siksi paki, mavifua ,mapushapu ,mamisuli ka mwili flani chakujazia vile ataeza endo zile moja na mbili, wakati mnanyoosha migongo dada angu vp izo kategori na wenyewe pm yako inawahusu ili wasidevele
Mmh si uwanja wa ngumi.
 
Ok well , i can't say I'm or not ila nnachoamini hakuna mwanamke asiyependa kuwa part ya mafanikio ya rafiki,mumewe hata kwa mchango wake mdogo aliojaaliwa mfano ideas,tulizo la mwili na akili nk. Kama ni huo mvuto wa akili basi wote wanao.
Sidhani mwanamke anayejua mumewe anaingiza elfu 5 kwa siku , halafu kila week mwanamke huyu anataka kubadilisha misuko ya nywele ana mchango wa maendeleo kwa mumewe
 
Back
Top Bottom